Vipele hivyo hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu, yaani bakteria. Hapa siongelei ile scrubbing ya kwenda kufanya sijui salon, ila scrubbing ya kufanya mwenyewe home. Kila baada ya siku moja, jioni akioga a-scrub kwa kutumia dodoki ikitegemea na ugumu wa ngozi. 10. US… Read More